Mwigizaji Batuli Yamemfika Hapaaa! Amrushia Dongo Rais Magufuli...Lisome Hapa
Mwigizaji wa Filamu za Kibongo anayejulikana kama Batuli ambae
alishiriki vilivyo kwenye kampeni za kuipigania CCM kushika dola
ameandika Meneno kwenye ukurasa wake wa Twitter yanayoonekana kama Dongo
kwa rais John Magufuli....Nimekuwekea hapa chini aliyoandika,,,
Je Wadhani ni nini Kimemfika Hadi kutoa Maneno Kama Hayo?
>>
Post a Comment